Breaking

Tuesday, May 23, 2017

RAIS MAGUFULI KUPOKEA TAARIFA KUHUSU MCHANGA WA MADINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli atapokea taarifa ya kamati maalum aliyoiunda kuchunguza mchanga ulio katika makontena ya mchanga wa madini yaliopo katika maeneo mbalimbali nchini.

Soma taarifa kamili:

No comments:

Post a Comment