Breaking

Monday, May 22, 2017

MAKONDA RUGE INABIDI AOMBE MSAMAHA KWA KUWATAPELI WATANZANIA

Baadhi ya Maneno Aliyokaririwa akisema Paul Makonda katika mahojiano yake na Star TV Leo...

'Ruge Anapaswa awaombe msamaha Watanzania kwa kuwatapeli kuwa Nilivamia Kituo chake'

'Tukio linaloitwa uvamizi kwangu ni igizo la Uvamizi' 

'Clouds nilikuwaga naenda kula ugali na Maharage'


'Nimeuona uongo wa Ruge hadharani, Nimeouna utapeli wa Ruge Hadharani'

'Ruge ana akili ya kutunga nyimbo za mapenzi na Ng'onjera sio maendeleo ya Dar as salaam'

No comments:

Post a Comment